Haya ee moyo wangu

Haya ee moyo wangu

Author: Paul Gerhardt
Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Haya ee moyo wangu,
imba kwa furaha.
Umwimbie Mwumbaji
mbingu na dunia.
Atukuzwaye pote
umsifu na wewe
kwa nguvu zako zote,
umri wako wote.

2 Mungu wake Yakobo,
ndiye Mungu wetu.
Ukimchagua yeye,
una fungu jema,
unacho kitu chema,
umepata mali;
moyo utakung'aa
shida zitakwisha.

3 Ni mwenye nguvu nyingi,
hana amshindaya.
Kwa hekima aumba,
vyote ni ajabu,
misitu na mabonde,
milima, mashamba,
vilivyo baharini
wanyama porini.

4 Ana mizungu mingi,
kuponya wanawe.
Anawapa riziki,
hata siku za njaa.
Wenye chakula haba
wanenepa miili:
hata waliofungwa
anawafungua.

5 Mashangilio yote,
hayamtoshi yeye.
Ni mwema peke yake
nami ni vumbi tu!
Ananihurumia
kwa kuwa ni wake,
kwa hiyo nalikuza
jina lake pote.

Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #256

Author: Paul Gerhardt

Paul Gerhardt (b. Gräfenheinichen, Saxony, Germany, 1607; d. Lubben, Germany, 1676), famous author of Lutheran evangelical hymns, studied theology and hymnody at the University of Wittenberg and then was a tutor in Berlin, where he became friends with Johann Crüger. He served the Lutheran parish of Mittenwalde near Berlin (1651-1657) and the great St. Nicholas' Church in Berlin (1657-1666). Friederich William, the Calvinist elector, had issued an edict that forbade the various Protestant groups to fight each other. Although Gerhardt did not want strife between the churches, he refused to comply with the edict because he thought it opposed the Lutheran "Formula of Concord," which con­demned some Calvinist doctrines. Consequently, he was r… Go to person page >

Text Information

First Line: Haya ee moyo wangu
German Title: Du meine Seele, singe
Author: Paul Gerhardt
Language: Swahili
Notes: Sauti: Du meine Seele, singe by J. G. Ebeling, 1666 (Zaburi 146) Posaunen Buch, Zweiter Band #388, Nyimbo za Kikristo #204, Service Book and Hymnal #176 (2nd tune)

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Mwimbieni Bwana #256

Suggestions or corrections? Contact us