1 Utukufu mbinguni Juu Bwana katujia Twendeni tukamuone Mkombozi wetu
Refrain: Sote tu, Piga yowe Kwa shangwe Amekuja mkombezi wetu, Aa! tumlaki.
2 Mjinin Bethlehemu Yesu kazaliwa Manbii walivyosema Ikatimia. [Refrain]
3 Apewe ni utukufu Bwana wa majeshi Tumwabudu ndiye Mungu Tumsujudie. [Refrain]
4 Yesu Bwana turehemu Sisi watu wako Tupe neema na pendo Tukushangilie. [Refrain]Source: Nyimbo Za Imani Yetu #302