Ee moyo wangu, hima

Ee moyo wangu, hima

Author: J. L. K. Allendorf
Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Ee moyo wangu, hima,
enenda mbinguni!
Ulimwenguni humu
hapana pa raha.
Mchungaji wetu Yesu
achungapo kondoo
ni penye raha kuu.
Enenda mbinguni!

2 Yeye akupokee,
Mungu baba yako,
akuketishe pake
katika enzi kuu.
Atakuvika nguo
za wongofu wa Mungu,
akupa raha kuu.
Enenda mbinguni!

3 Nakutuamani sana.
Mwana kondoo Mungu!
Ningepata mabawa
ningeruka pale,
wanaposhangilia
malaika wake Mungu
katika raha kuu.
Enenda mbinguni!

4 Mapenzi yako, Bwana
ndizo haja zangu
Utakalo lolote
nami nitatenda.
Naingojea siku
utakayoniita,
nipate raha kuu!
Enenda mbinguni!


Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #150

Author: J. L. K. Allendorf

Allendorf, Johann Ludwig Konrad, b. Feb. 9, 1693, at Josbach, near Marburg, Hesse, where his father was pastor. He entered the University of Giessen in 1711, but in 1713 passed on to Halle to study under Francke, and then, in 1717, became tutor in the family of Count Henkel of Odersberg. In 1723 he became tutor to the family of Count Erdmann v. Promnitz at Sorau, and in 1724 was appointed Lutheran Court preacher at Cothen, when one of the Count's daughters was married to the Prince of Anhalt-Cothen. After the death of his first wife the Prince married her younger sister, but the latter, dying in 1750, the need for a Lutheran Court preacher ceased, he being of the Reformed Confession. Allendorf was then summoned by Count Christian Ernst v. S… Go to person page >

Text Information

First Line: Ee moyo wangu, hima
German Title: Fort, fort, mein Herz, zum Himmel
Author: J. L. K. Allendorf
Language: Swahili
Notes: Sauti na wimbo: Fort, fort, mein Herz, zum Himmel, Asili: Westfalia, Reichs Lieder #558, Posaunen Buch (XVII) #348

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
Text

Mwimbieni Bwana #150

Suggestions or corrections? Contact us