285. Ubatizo Alama Ya Utiifu

1 Kwa kuwa umemkiri,
Yesu Mwokozi,
Kwa Kuwa umemkiri,
Yesu Mwokozi,
Alama ya Ubatizo
Alama ya Ubatizo ni utiifu,
ni utiifu kwako.

2 Kwa kuwa utamwandama,
Yesu po pote,
Kwa kuwa utamwandama,
Yesu po pote,
Uiwe msalaba,
Uinue msalaba usione
haya tena.

3 Kwa kuwa utaogopa
Yesu kumkiri,
Kwa kuwa hutaogopa
Yesu kumkiri,
Po pote uendapo,
Po pote uendapo tangaza
wokovu wake.

Text Information
First Line: Kwa kuwa umemkiri
Title: Ubatizo Alama Ya Utiifu
Language: Swahili
Publication Date: 1994
Scripture:
Topic: Ubatizo
Notes: Sauti: by M. G. Mutsoli, © 1994
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us