263. Nina Ujumbe Wa Bwana Aliyeniokoa

1 Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa;
Nina ujube wa Bwana aa.
Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa;
Nina ujube wa Bwana aa.

2 Nina baraka za Bwana aliyeniokoa;
Nina baraka za Bwana aa.
Nina baraka za Bwana aliyeniokoa;
Nina baraka za Bwana aa.

3 Nina ushindi wa Bwana aliyeniokoa;
Nina ushindi wa Bwana aa.
Nina ushindi wa Bwana aliyeniokoa;
Nina ushindi wa Bwana aa.

Text Information
First Line: Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa
Title: Nina Ujumbe Wa Bwana Aliyeniokoa
Language: Swahili
Publication Date: 1994
Scripture:
Topic: Ushuhuda
Notes: Sauti: Mapokeo
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us