17. Zaburi 67

1 Mungu na atufadhili na kutubariki
Ee mungu, na kutuangazia uso wake, ee.

Refrain:
Watu wakushukuru Mungu,
Watu wote wakushukuru.
Wakushukuru Mungu, ee,
Watu wote wakushukuru.

2 Njia yake ijulike dunia-ni
Wokovu wake kati ya mataifa yote. [Refrain]

3 Mataifa yote, kote na washangilie,
Maana kwa haki utawahukumu watu. [Refrain]

4 Mungu wetu, ametubariki sana sisi;
Nchi imetoa mazao, itamcha yeye.

Text Information
First Line: Mungu na atufadhili na kutubariki
Title: Zaburi 67
Refrain First Line: Watu wakushukuru Mungu
Language: Swahili
Publication Date: 1994
Scripture: ;
Topic: Irada, Sifa Na Injil; Neno La Mungu
Copyright: Sauti [Tune] - © Copyright 1994 by Nathan Corbitt.
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us