179. Bwana, U sehemu yangu

1 Bwana, U sehemu yangu.
Rafiki yangu, Wewe;
Katika safari yangu
Nitembee na Wewe;
Pamoja na Wewe,
Pamoja na Wewe,
Katika safar yangu
Nitembee na Wewe.

2 Mali hapa sikutaka
Ili niheshimiwe,
Yanikutapo mateso
Sawasawa na Wewe.
Pamoja na Wewe,
Pamoja na Wewe,
Heri nikute mateso
Sawasawana Wewe.

3 Niongoze safarini,
Mbele unichukue.
Mlangoni mwa Mbinguni
Niingie na Wewe,
Pamoja na Wewe,
Pamoja na Wewe,
Mlangoni mwa Mbinguni
Niingie na Wewe.

Text Information
First Line: Bwana, U sehemu yangu
Title: Bwana, U sehemu yangu
English Title: Thou my everlasting portion
Author: S. J. Vail
Language: Swahili
Publication Date: 1988
Topic: Kipaimara
Notes: Sauti: Thou my everlasting portion by Fanny J. Crosby, Sacred Songs and Solos #574
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us