Text: | Mwokozi wetu amepaa |
Author: | J. Wegelin |
1 Mwokozi wetu amepaa
mbinguni! Neno hili
linatufariji sasa
katika woga wote.
Kikiwa hickwa mbinguni,
hata viungo vyafika
alikokwenda yeye.
2 Mwokozi wetu
amepaa mbinguni,
mwenye nguvu,
mbinguni nitapokewa
nitengemane kweli.
Sababu hii ninataka
kufika pale, alipo
Mwokozi wangu Yesu.
3 Mwokozi wetu amepaa
mbingui! Nakuomba:
Bwanangu nisaidie
nikutegemee wee.
Nikufuate daima,
mwisho nifike kwako juu
mikiacha dunia.
Text Information | |
---|---|
First Line: | Mwokozi wetu amepaa |
Title: | Mwokozi wetu amepaa |
German Title: | Auf Christi Himmelfahrt |
Author: | J. Wegelin (1640) |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1988 |
Topic: | Yesu amepaa mbinguni |
Notes: | Sauti: Es ist gewisslich an der Zeit, Asili: Wittenberg 1536, Posaunen Buch, Erster Band #115, Augustana Hymnal #264, Lutheran Book of Worship #321 |