15522. Msalabani Pa Mwokozi

1 Msalabani pa Mwokozi,
Naliomba unirehemu,
Aliniondoa dhambini,
Sifa kwa Yesu!

Refrain:
Sifa kwa Yesu,
Sifa kwa Yesu, Bwanangu,
Aliniondoa dhambini,
Sifa kwa Yesu.

2 Chini ya mti naliomba,
Nisamehewe dhambi zangu,
Nalitakasika kwa damu,
Sifa kwa Yesu! [Refrain]

3 Kisima cha kububujika,
Kwangu ni youte na furaha,
Nalitakaswa kisimani,
Sifa kwa Yesu! [Refrain]

4 Karibu nyote kisimani!
Nyweni na roho itashiba,
Kiu yaisha, salamu kuu,
Sifa kwa Yesu! [Refrain]

Text Information
First Line: Msalabani pa Mwokozi
Title: Msalabani Pa Mwokozi
English Title: Down at the cross where my Savior died
Author: Elisha A. Hoffman
Translator: Unknown
Refrain First Line: Sifa kwa Yesu
Language: Swahili
Copyright: Public Domain
Tune Information
Name: [Msalabani pa Mwokozi]
Composer: John H. Stockton
Key: A♭ Major
Copyright: Public Domain



Media
MIDI file: MIDI
More media are available on the tune authority page.

Suggestions or corrections? Contact us